N Nyamahanga New Member Joined Aug 6, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Aug 7, 2025 #1 Habari zenu wadau, naomba kama kuna mtu ana uzoefu wa kujaza fomu za kuombea visa anisaidie. Au kama unafahamu watu wa kufanya hiyo kazi ya ujazaji basi naomba msaada. natakiwa kujaza ili nikaombe visa
Habari zenu wadau, naomba kama kuna mtu ana uzoefu wa kujaza fomu za kuombea visa anisaidie. Au kama unafahamu watu wa kufanya hiyo kazi ya ujazaji basi naomba msaada. natakiwa kujaza ili nikaombe visa