Well nilienda Hospital
Dokta akadai sio huo ugonjwa wa genital herpes lakini amenipa hii dawa yaitwa cylclovax cream, amedai kuna infection kwenye blood na amenipa pia antibiotics zinaitwa ampiclox

ila unafanana na genital herpes ambayo yenyewe hujirudia ama sehemu iyo iyo au karibu na eneo ilo la mwanzo sehemu za siri, maana iyo cream pia ni antiviral , hupunguza virus hususan herpes simplex virus. kwel magonjwa ni meng!

pole sana ndugu yangu hii ni herpes naweza sema hivyo kwa haraka haraka, kama umewahifanya mapenzi bila kondom au kumgusa mtu mwenye ugonjwa huo then ukajishika wewe bila kunawa lakini kama ipo kwenye nyeti hiyo ni kutokana na gono ndio ukapata, Dawa yake ni maombezi tu yaani kwajina la YESU kama unaamini.
Ndugu wataalamu wa JF naomba mtazame hii picha (snapshot) kisha msaidie kufafanua huo ni ugonjwa gani, vipele hivyo vimejitokeza katika sehemu za siri na haviwashi zaidi ya kutoa maji majiView attachment 125862