Mbumbumbu wa Simba kweli hamnazo badala ya kuhangaikia usajili Ili Yanga isichukue makombe moja kwa moja kwa mwaka wa tatu mfululizo wao wako bize na jezi! Sijui jezi Kali mara vunjabei hafai, sijui tukapige picha na twiga kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro, Makolo wamejaa ujinga mtupu jezi zina faida Gani wakati kabatini Msimbazi kombe hata moja hakuna! Vumbi tu limejaa!
Huyu Rage the Great Mimi Utopolo Lialia nampa Maua yake