GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,736
- 109,323
Achananayo hao Makolo,, Mpira hawana wanawaza uchawi tu..Unataka ushindi kwa striker yupi uliyenaye?
John Boko? Mugalu? Morrison chizi?
Hata Mbeya walikosea kupita njia ya MbaliziTokea jana tumewaambia zugeni hilo Basi kubwa la Wachezaji wapandisheni tu Mashabiki ila Timu ( Wachezaji ) wapandisheni katika 'Coastal' na wapitisheni ile barabara ya ya chini ya Turiani kuelekea Mtibwa na siyo hii ya Juu mnayopita ( mliyopita ) hamjasikia na badala yake mmepitia njia ile ile mliyotegewa Miba ( Uchawi ) na Mtibwa Sugar FC.
Leo mkitoka Sare au mkifungwa tafadhali mtatueleza na hiyo Timu sasa itakuwa chini yetu Mafia wa Soka la Bongo wakiongozwa nami GENTAMYCINE na Watu wangu kadhaa. Mmenikera sana na nasikia hata akina Muzamiru, Dilunga na Manula wamewapeni Ushauri wa njia ya kupitia bado mmewabishia mkijifanya mnajiamini na Timu yetu inaendeshwa Kisasa.
Leo tunataka Ushindi mkifungwa mtatutambua kwani tumeshawavumilia vya Kutosha halafu Wewe Mzee Mangungu na CEO Barbara na Mratibu wq Timu Abbas kwanini mmakuwa Wabishi pale tukiwashauri Mambo ya Kimafia na Sisi Mamafia Wabobezi?
Wangepita njia ipi??Hata Mbeya walikosea kupita njia ya Mbalizi
Ana akili ndogo sana hawezi kukuelewaKuamini uchawi kwenye kitu kinachoonekana kwa macho ni kuongeza ujinga na upofu wa kufikiri. Ukifungwa au kutoka sare oooh umerogwa ila ukishinda mpinzani mwenzio anakwambia ndo mchezo. Ujinga ni kuamini uchawi kwenye mpira. Kama timu mbovu hata uwe na waganga uwanja mzima hutoboi.
Leo timu iko milononi mwako?Tokea jana tumewaambia zugeni hilo Basi kubwa la Wachezaji wapandisheni tu Mashabiki ila Timu ( Wachezaji ) wapandisheni katika 'Coastal' na wapitisheni ile barabara ya ya chini ya Turiani kuelekea Mtibwa na siyo hii ya Juu mnayopita ( mliyopita ) hamjasikia na badala yake mmepitia njia ile ile mliyotegewa Miba ( Uchawi ) na Mtibwa Sugar FC.
Leo mkitoka Sare au mkifungwa tafadhali mtatueleza na hiyo Timu sasa itakuwa chini yetu Mafia wa Soka la Bongo wakiongozwa nami GENTAMYCINE na Watu wangu kadhaa. Mmenikera sana na nasikia hata akina Muzamiru, Dilunga na Manula wamewapeni Ushauri wa njia ya kupitia bado mmewabishia mkijifanya mnajiamini na Timu yetu inaendeshwa Kisasa.
Leo tunataka Ushindi mkifungwa mtatutambua kwani tumeshawavumilia vya Kutosha halafu Wewe Mzee Mangungu na CEO Barbara na Mratibu wq Timu Abbas kwanini mmakuwa Wabishi pale tukiwashauri Mambo ya Kimafia na Sisi Mamafia Wabobezi?
Awapandishe kwenye helicopterWangepita njia ipi??
Mgeacha kusajili wachezaji badala yake mgesajili hao mamafia wa soka ili wakacheze ili mpate ushindi kila mechiTokea jana tumewaambia zugeni hilo Basi kubwa la Wachezaji wapandisheni tu Mashabiki ila Timu ( Wachezaji ) wapandisheni katika 'Coastal' na wapitisheni ile barabara ya ya chini ya Turiani kuelekea Mtibwa na siyo hii ya Juu mnayopita ( mliyopita ) hamjasikia na badala yake mmepitia njia ile ile mliyotegewa Miba ( Uchawi ) na Mtibwa Sugar FC.
Leo mkitoka Sare au mkifungwa tafadhali mtatueleza na hiyo Timu sasa itakuwa chini yetu Mafia wa Soka la Bongo wakiongozwa nami GENTAMYCINE na Watu wangu kadhaa. Mmenikera sana na nasikia hata akina Muzamiru, Dilunga na Manula wamewapeni Ushauri wa njia ya kupitia bado mmewabishia mkijifanya mnajiamini na Timu yetu inaendeshwa Kisasa.
Leo tunataka Ushindi mkifungwa mtatutambua kwani tumeshawavumilia vya Kutosha halafu Wewe Mzee Mangungu na CEO Barbara na Mratibu wq Timu Abbas kwanini mmakuwa Wabishi pale tukiwashauri Mambo ya Kimafia na Sisi Mamafia Wabobezi?
Hapana Mkuu na acheni Kumuamini KAGAMEE kwa kusema nimepewa Timu leo na kula Tsh Milioni 50 na kwamba sijui nimeishindwa Kazi.Leo timu iko milononi mwako?
Tuliwaonya hawakutusikia acha yawapate.Hata Mbeya walikosea kupita njia ya Mbalizi
Boda jipya la Kuelekea mpakani Tunduma.Wangepita njia ipi??
Je, aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) nae alikuwa sahihi pale aliposikika ( na hata YouTube ) akisema kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe?Mgeacha kusajili wachezaji badala yake mgesajili hao mamafia wa soka ili wakacheze ili mpate ushindi kila mechi
Wewe ni uthibitisho kuwa Rage alikuwa sahihi
Haya jibu iloJe, aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) nae alikuwa sahihi pale aliposikika ( na hata YouTube ) akisema kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe?
Nasubiri jibu lako upesi sana tafadhali!!!