Viongozi wa Simba SC mlioambatana na Timu Morogoro kwanini 'Mafia' wa Soka la Bongo tukiwashauri Mambo huwa hamtusikii na hamtuelewi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,455
108,567
Tokea jana tumewaambia zugeni hilo Basi kubwa la Wachezaji wapandisheni tu Mashabiki ila Timu ( Wachezaji ) wapandisheni katika 'Coastal' na wapitisheni ile barabara ya ya chini ya Turiani kuelekea Mtibwa na siyo hii ya Juu mnayopita ( mliyopita ) hamjasikia na badala yake mmepitia njia ile ile mliyotegewa Miba ( Uchawi ) na Mtibwa Sugar FC.

Leo mkitoka Sare au mkifungwa tafadhali mtatueleza na hiyo Timu sasa itakuwa chini yetu Mafia wa Soka la Bongo wakiongozwa nami GENTAMYCINE na Watu wangu kadhaa. Mmenikera sana na nasikia hata akina Muzamiru, Dilunga na Manula wamewapeni Ushauri wa njia ya kupitia bado mmewabishia mkijifanya mnajiamini na Timu yetu inaendeshwa Kisasa.

Leo tunataka Ushindi mkifungwa mtatutambua kwani tumeshawavumilia vya Kutosha halafu Wewe Mzee Mangungu na CEO Barbara na Mratibu wq Timu Abbas kwanini mmakuwa Wabishi pale tukiwashauri Mambo ya Kimafia na Sisi Mamafia Wabobezi?
 
Hata Mbeya walikosea kupita njia ya Mbalizi
 
Kuamini uchawi kwenye kitu kinachoonekana kwa macho ni kuongeza ujinga na upofu wa kufikiri. Ukifungwa au kutoka sare oooh umerogwa ila ukishinda mpinzani mwenzio anakwambia ndo mchezo. Ujinga ni kuamini uchawi kwenye mpira. Kama timu mbovu hata uwe na waganga uwanja mzima hutoboi.
 
Ana akili ndogo sana hawezi kukuelewa
 
Tokea jana tumewaambia zugeni hilo Basi kubwa la Wachezaji wapandisheni tu Mashabiki ila Timu ( Wachezaji ) wapandisheni katika 'Coastal' na wapitisheni ile barabara ya ya chini ya Turiani kuelekea Mtibwa na siyo hii ya Juu mnayopita ( mliyopita ) hamjasikia na badala yake mmepitia njia ile ile mliyotegewa Miba ( Uchawi ) na Mtibwa Sugar FC.

Leo mkitoka Sare au mkifungwa tafadhali mtatueleza na hiyo Timu sasa itakuwa chini yetu Mafia wa Soka la Bongo wakiongozwa nami GENTAMYCINE na Watu wangu kadhaa. Mmenikera sana na nasikia hata akina Muzamiru, Dilunga na Manula wamewapeni Ushauri wa njia ya kupitia bado mmewabishia mkijifanya mnajiamini na Timu yetu inaendeshwa Kisasa.

Leo tunataka Ushindi mkifungwa mtatutambua kwani tumeshawavumilia vya Kutosha halafu Wewe Mzee Mangungu na CEO Barbara na Mratibu wq Timu Abbas kwanini mmakuwa Wabishi pale tukiwashauri Mambo ya Kimafia na Sisi Mamafia Wabobezi?
Leo timu iko milononi mwako?
 
Mgeacha kusajili wachezaji badala yake mgesajili hao mamafia wa soka ili wakacheze ili mpate ushindi kila mechi

Wewe ni uthibitisho kuwa Rage alikuwa sahihi
 
Leo timu iko milononi mwako?
Hapana Mkuu na acheni Kumuamini KAGAMEE kwa kusema nimepewa Timu leo na kula Tsh Milioni 50 na kwamba sijui nimeishindwa Kazi.

Nikikabidhiwa Kitengo Yanga SC ataanza Kufungwa mfululizo na hamtoamini nyote kwani hakuna Mtu ninayezijua vyema Passwords za Yanga SC kama Mimi GENTAMYCINE na hata Ubingwa wanaoutaka na Kuuota hawatouchukua kamwe.
 
Mgeacha kusajili wachezaji badala yake mgesajili hao mamafia wa soka ili wakacheze ili mpate ushindi kila mechi

Wewe ni uthibitisho kuwa Rage alikuwa sahihi
Je, aliyekuwa Kocha wenu Yanga SC Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) nae alikuwa sahihi pale aliposikika ( na hata YouTube ) akisema kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe?

Nasubiri jibu lako upesi sana tafadhali!!!
 
Haya jibu ilo

Mo (1).png
 
Back
Top Bottom