Witness Mathew
Member
- Jun 8, 2018
- 65
- 26
Hahah wengine muda wote zinasoma mkuuvyuma mzee baba, tarehe si unaziona
Haina Bluetooth MkuuIyo sabufer inaruhusu bluetooth?
Sijui unazungumzia bei za lini nduguSpeaker 3 135 boss mpyaaa na risiti ya tra
Za hata sasa bei uliyoweka ni ya kununua kitu new boxedSijui unazungumzia bei za lini ndugu
Kama ni upya zipo mpaka sabufa za elfu 65 shida uwezo huwezi linganisha vitz na Range rover ndugu yanguZa hata sasa bei uliyoweka ni ya kununua kitu new boxed
Kama ni upya zipo mpaka sabufa za elfu 65 shida uwezo huwezi linganisha vitz na Range rover ndugu yangu
Chukua CPU hapo kwanza nakupa bure weweNi kweli vits new model na haiwezi kuwa sawa na Range ya mwaka 1870 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hahahahaaNi kweli vits new model na haiwezi kuwa sawa na Range ya mwaka 1870 ππππ
We mtoto hatari[emoji3][emoji3]Ni kweli vits new model na haiwezi kuwa sawa na Range ya mwaka 1870 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]