Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,036
- 1,664
Umeongea kitu kizuri kuhusu kutoangalia external appearance ya mtu, ila kitu ambacho sikubaliani na wewe ni kutaka views/Norms zetu kama Africans ziwe sawa na wazungu(or maybe sijakuelewa nimekurupuka), hilo swala hapana mzee, angalia views zao zilipowafikisha, jamii zao zimeharibika, kutokuwa na clear-cut distinction between "Right" or "Wrong" ni mbaya sana.Kuna siku nilikuwa naanza kazi sehemu US, nikamkuta jamaa ana tattoo kama mwili mzima, tena zile za marangirangi.
Halafu jamaa mtu poa tu.
Alikuwa anafanya kazi za web design.
Nikasema huyu mtu atakuwa na kipaji sana cha mambo ya design, halafu anayapenda sana mpaka kaamua kuufanyia mwili wake wote design za tatoo.
Na waajiri wake wamemuelewa na kumuajiri kwa kipaji chake, bila kujali anavyoonekana.
Hili ni moja kati ya mambo yanayotuangusha Africa. Tunaangalia nje mtu anaonekanaje kuliko uwezo wa mtu.
Matokeo yake, tunaacha kuchukua watu wazuri wenye vipaji ambao wana tattoo, tunakuja kuchukua wezi wasiojua kazi wanaojua kuvaa suti nzuri.
Halafu, tukishindwa kuendelea, tunashangaa kwa nini hatuendelei
Hata Biblia imekataza michoro kwenye mwili. Wachukue hao wapeleke huko US. Huku Afrika usennge huu hatuutakiKuna siku nilikuwa naanza kazi sehemu US, nikamkuta jamaa ana tattoo kama mwili mzima, tena zile za marangirangi.
Halafu jamaa mtu poa tu.
Alikuwa anafanya kazi za web design.
Nikasema huyu mtu atakuwa na kipaji sana cha mambo ya design, halafu anayapenda sana mpaka kaamua kuufanyia mwili wake wote design za tatoo.
Na waajiri wake wamemuelewa na kumuajiri kwa kipaji chake, bila kujali anavyoonekana.
Hili ni moja kati ya mambo yanayotuangusha Africa. Tunaangalia nje mtu anaonekanaje kuliko uwezo wa mtu.
Matokeo yake, tunaacha kuchukua watu wazuri wenye vipaji ambao wana tattoo, tunakuja kuchukua wezi wasiojua kazi wanaojua kuvaa suti nzuri.
Halafu, tukishindwa kuendelea, tunashangaa kwa nini hatuendelei
Mwisho atashangaa hata tunavyokataa mashoga kwenye societies za Kiafrika. Hawa akina Kiranga wakishafika huko wanasahau Uafrika wao na ku adopt maisha ya kishenzi. Ndiyo maana tumekataa uraia pacha sababu ya cultural infiltrationUmeongea kitu kizuri kuhusu kutoangalia external appearance ya mtu, ila kitu ambacho sikubaliani na wewe ni kutaka views/Norms zetu kama Africans ziwe sawa na wazungu(or maybe sijakuelewa nimekurupuka), hilo swala hapana mzee, angalia views zao zilipowafikisha, jamii zao zimeharibika, kutokuwa na clear-cut distinction between "Right" or "Wrong" ni mbaya sana.
Kuna siku nilikuwa naanza kazi sehemu US, nikamkuta jamaa ana tattoo kama mwili mzima, tena zile za marangirangi.
Halafu jamaa mtu poa tu.
Alikuwa anafanya kazi za web design.
Nikasema huyu mtu atakuwa na kipaji sana cha mambo ya design, halafu anayapenda sana mpaka kaamua kuufanyia mwili wake wote design za tatoo.
Na waajiri wake wamemuelewa na kumuajiri kwa kipaji chake, bila kujali anavyoonekana.
Hili ni moja kati ya mambo yanayotuangusha Africa. Tunaangalia nje mtu anaonekanaje kuliko uwezo wa mtu.
Matokeo yake, tunaacha kuchukua watu wazuri wenye vipaji ambao wana tattoo, tunakuja kuchukua wezi wasiojua kazi wanaojua kuvaa suti nzuri.
Halafu, tukishindwa kuendelea, tunashangaa kwa nini hatuendelei
Sijaongea kuhusu wazungu.Umeongea kitu kizuri kuhusu kutoangalia external appearance ya mtu, ila kitu ambacho sikubaliani na wewe ni kutaka views/Norms zetu kama Africans ziwe sawa na wazungu(or maybe sijakuelewa nimekurupuka), hilo swala hapana mzee, angalia views zao zilipowafikisha, jamii zao zimeharibika, kutokuwa na clear-cut distinction between "Right" or "Wrong" ni mbaya sana.
Nafikiri Kiranga hana baya kwa alichokisema, lakini anasahau kitu kimoja crucial sana, We are Africans and they are Europeans, tattoo sio mambo yetu, yes tuna tamaduni za kujichora tunapokuwa kweny sherehe za kitamaduni/kijadi lakini those aren't permanent.Mwisho atashangaa hata tunavyokataa mashoga kwenye societies za Kiafrika. Hawa akina Kiranga wakishafika huko wanasahau Uafrika wao na ku adopt maisha ya kishenzi. Ndiyo maana tumekataa uraia pacha sababu ya cultural infiltration
Sawa.Mkuu kwa Tanzania, ukichukua watu 10 waliochora tattoo, pengine 2 wakawa ni watu poa...
Wamakonde wanajichora some of the most severe tattoos, usoni.Nafikiri Kiranga hana baya kwa alichokisema, lakini anasahau kitu kimoja crucial sana, We are Africans and they are Europeans, tattoo sio mambo yetu, yes tuna tamaduni za kujichora tunapokuwa kweny sherehe za kitamaduni/kijadi lakini those aren't permanent.
Natamani Europe ibaki kuwa Europe, India ibaki kuwa India na Africa ibaki kuwa Africa.
This is a combination of two logical fallaciesHata Biblia imekataza michoro kwenye mwili. Wachukue hao wapeleke huko US. Huku Afrika usennge huu hatuutaki
Kwa mtaji huu mtaendelea kuwa masikini kwa kutothamini vipaji vya watu na kuangalia muonekano wa nje wa watu.Mwisho atashangaa hata tunavyokataa mashoga kwenye societies za Kiafrika. Hawa akina Kiranga wakishafika huko wanasahau Uafrika wao na ku adopt maisha ya kishenzi. Ndiyo maana tumekataa uraia pacha sababu ya cultural infiltration
Broo undani wa mtu unauonaje kwa mtu uliyekutana nae kwa muda mfupi, ujue una complicate mambo cause hata wewe, mimi na mtu mwingine yeyote huwaga tunaanza kum-define kwa external appearance kwanza.Na point ya msingi bado ipo, mnaangalia sana muonekano wa watu kuliko undani wa watu, uwezo wa watu.
Nakubaliana na wewe, mimi nimeshawahi kukutana na bosi C.T.O wa kampuni kubwa anatumia cocaine Berlin. Ukweli ni kwamba mazingira ya wazungu na sisi waaafrika ni vitu viwili tofauti. Mzungu anavuta unga na bhangi kwa sababu ya stress za kazi. Lakini muafrika anatumia madawa ili kupunguza machungu ya maisha. Hii inaappply pia katika tatoo mzungu anachora tatoo akiwa ana maana ya kuichora lakini Muafrika anachora tatoo ili kuinogesha mwili wake. Nadhani kuna umuhimu wa kufundisha philosophy hata katika shule za msingi. Ni vigumu mzungu kufanya kitu bila kukitetea na sababu zake. Lakini vijana wa kiafrika wanafanya vitu kwa kufuata mkumbo kama nyumbu.Kuna siku nilikuwa naanza kazi sehemu US, nikamkuta jamaa ana tattoo kama mwili mzima, tena zile za marangirangi.
Halafu jamaa mtu poa tu.
Alikuwa anafanya kazi za web design.
Nikasema huyu mtu atakuwa na kipaji sana cha mambo ya design, halafu anayapenda sana mpaka kaamua kuufanyia mwili wake wote design za tatoo.
Na waajiri wake wamemuelewa na kumuajiri kwa kipaji chake, bila kujali anavyoonekana.
Hili ni moja kati ya mambo yanayotuangusha Africa. Tunaangalia nje mtu anaonekanaje kuliko uwezo wa mtu.
Matokeo yake, tunaacha kuchukua watu wazuri wenye vipaji ambao wana tattoo, tunakuja kuchukua wezi wasiojua kazi wanaojua kuvaa suti nzuri.
Halafu, tukishindwa kuendelea, tunashangaa kwa nini hatuendelei
Yani hujui watu wanavyoajiriwa kwa kuangaliwa uwezo, elimu, kufanyiwa interview oral na practical etc?Broo undani wa mtu unauonaje kwa mtu uliyekutana nae kwa muda mfupi, ujue una complicate mambo cause hata wewe, mimi na mtu mwingine yeyote huwaga tunaanza kum-define kwa external appearance kwanza.
Sasa Mfano, mtu aliyevaa "Kata-k" (kavaa suruali kwa kushusha matakoni) na mtu aliyevaa suruali yake safi kabisa kiunoni, hao watu utawa-define sawa??
Makonde chale ushawahi kuwasikia mkuu??Nafikiri Kiranga hana baya kwa alichokisema, lakini anasahau kitu kimoja crucial sana, We are Africans and they are Europeans, tattoo sio mambo yetu, yes tuna tamaduni za kujichora tunapokuwa kweny sherehe za kitamaduni/kijadi lakini those aren't permanent.
Natamani Europe ibaki kuwa Europe, India ibaki kuwa India na Africa ibaki kuwa Africa.