Vijana wanahitajika

Mwangaruka

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
24
Reaction score
2
Wanahitajika vijana watatu kwa ajiri ya kusambaza dagaa wa Mwanza.

Wwawe waaminifu na wenye nia.

Kwa maelezo zaidi ni-PM
 
Yule aliyesema anataka kazi yoyote,haya changamkia fursa hiyo.
 
ongeza maelezo hapa hapa kwanza, ipe nyama taarifa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…