[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
" Alisikika mfanyakazi mmoja akizungumza.
Kuna debate ya yes no tangu lini, uwezo wa kuzungumza ndio unaongaliwa mzee.Kama ni "interview" ya utangazaji na uigizaji sawa, kinyume na hapo kama maswali yako ni 'open end Q' au 'close end Q' tegemea "yes! no!" kwa wingi.
Kwa mgongo wa mwenye chakeSawa msomi naomba kuuliza hivi yule profesor Chako alipataje kazi
Sana aisee huwa vijana hawaelewi tuEducation is better than money !!!!....
kuna kaukweli flani ingawa naona kama presentations zinasaidia zaidi
Bongo kubebana hata Kama huna sifa wafanyie kwa mgongo wako mwana
Shida ni kwamba unaweza mbeba alaf mbeleko yenyewe ikachanikaBongo kubebana hata Kama huna sifa wafanyie kwa mgongo wako mwana
Nadhani unadandia treni kwa mbele litakugonga wewe inawezekana ni mmoja wapo wa wale mliopata kazi kwa njia ya connection huelewi mambo hebu pita kushoto ndio maana tumekukata kwenye usahili shubaamit!Kwahiyo debate ndio Qualifications ya kazi yenu? Au wote kazi Kwenu huko walishiriki debate ndio imewapa kazi acha ushamba ww zamwamwa ww limbukeni.