Nizhneserginsky JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 269 Reaction score 579 Aug 25, 2022 #1 "Fifa huniwezi bro" "Mshikaji wangu katoboa kwa forex" "kidimbwi michoro" "Klopp kocha" "Kilimo cha tikiti kinalipa sana" "Nina mwanangu yupo china" "Mondi sahiv anaandikiwa na mbosso" "zuchu promo sana" "OG bei zake huwezi" "unampata sir jeff?" "Aisha ananishobokea kinoma afu si-mindi wala nin" Ongezea na wewe ... Sent using Jamii Forums mobile app
"Fifa huniwezi bro" "Mshikaji wangu katoboa kwa forex" "kidimbwi michoro" "Klopp kocha" "Kilimo cha tikiti kinalipa sana" "Nina mwanangu yupo china" "Mondi sahiv anaandikiwa na mbosso" "zuchu promo sana" "OG bei zake huwezi" "unampata sir jeff?" "Aisha ananishobokea kinoma afu si-mindi wala nin" Ongezea na wewe ... Sent using Jamii Forums mobile app
Kiinua Mgongo Member Joined Sep 25, 2018 Posts 10 Reaction score 7 Aug 25, 2022 #2 "Bongo bahati mbaya" Sent from my CPH2365 using JamiiForums mobile app
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,563 Reaction score 5,370 Aug 25, 2022 #3 Hivi kwamba nime subscribe sehemu za ovyo? au JF inapungua radha
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,185 Reaction score 6,644 Aug 25, 2022 #4 [emoji16]wabongo taabu sana
Prakatatumba abaabaabaa JF-Expert Member Joined Aug 2, 2022 Posts 2,311 Reaction score 7,795 Aug 25, 2022 #5 Oyaaa nitumie connection
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,381 Reaction score 13,465 Aug 25, 2022 #6 Kuna mchongo nausikilizia.. Bila connection hutoboi
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,544 Reaction score 3,001 Aug 25, 2022 #7 Ofisa Una buku hapo nichemshe tumbo
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,934 Aug 25, 2022 #8 Ni kweli OG bei yake huiwezi mfano jezi ya Juventus kwenye duka lao ni kuanzia Euro 70-140..hapo bado shipping pia bado TRA mzigo ukifika wanakuchaji kodi nusu bei ya ulioinunulia..utaweza..jombaa1😂😂😂 picha hio hapo kwa maelekezo zaidi... Attachments Screenshot_20220825-214010_Samsung Internet.jpg 105.4 KB · Views: 26
Ni kweli OG bei yake huiwezi mfano jezi ya Juventus kwenye duka lao ni kuanzia Euro 70-140..hapo bado shipping pia bado TRA mzigo ukifika wanakuchaji kodi nusu bei ya ulioinunulia..utaweza..jombaa1😂😂😂 picha hio hapo kwa maelekezo zaidi...
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,397 Aug 25, 2022 #9 Wanavutia wakiwa wamevaa tu hivyo ila akivua unaweza ukakimbia
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,644 Reaction score 171,703 Aug 25, 2022 #10 "mi sioi nazalisha tu ntalea wanangu"
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,770 Reaction score 82,218 Aug 25, 2022 #11 Mwigulu mkuda *******
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,030 Reaction score 40,121 Aug 25, 2022 #12 Chaliifrancisco said: Mwigulu mkuda ******* Click to expand... 🤣🤣🤣
N nabydeco Member Joined Jul 1, 2018 Posts 80 Reaction score 97 Aug 25, 2022 #13 Utaskia niwashie hotspot kidogo
Nizhneserginsky JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 269 Reaction score 579 Aug 25, 2022 Thread starter #14 Prakatatumba abaabaabaa said: Oyaaa nitumie connection Click to expand... tugawane dhambi.. Sent using Jamii Forums mobile app
Prakatatumba abaabaabaa said: Oyaaa nitumie connection Click to expand... tugawane dhambi.. Sent using Jamii Forums mobile app
Nizhneserginsky JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 269 Reaction score 579 Aug 25, 2022 Thread starter #15 Tafuta Hela said: Ofisa Una buku hapo nichemshe tumbo Click to expand... hii kasi aisee Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta Hela said: Ofisa Una buku hapo nichemshe tumbo Click to expand... hii kasi aisee Sent using Jamii Forums mobile app
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,374 Reaction score 39,201 Aug 25, 2022 #16 Copied somewhere..
katib mkoa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,573 Reaction score 2,167 Aug 25, 2022 #17 Ningemuua liver saivi .... Odd chache mzigo mkubwa Mhindi mchawi
M Muuzaji Mkuu JF-Expert Member Joined Jun 18, 2022 Posts 892 Reaction score 1,999 Aug 25, 2022 #18 Forex bila signal hutoboi bro
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,563 Reaction score 5,370 Aug 26, 2022 #19 Chaliifrancisco said: Mwigulu mkuda ******* Click to expand... Hahah 😂
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,563 Reaction score 5,370 Aug 26, 2022 #20 “Hana ushua wowote yule demu njaa tu”