mparestina
Member
- Jun 4, 2011
- 10
- 8
usia huu nauwasilisha kwenu ninyi wana jf,ili wote kwa ujumla tuwe chachu ya mabadiliko,maana mambo 2nayofanya cjui YESU akirud 2taendaje naye kwa matendo ye2 maovu.jamani tuacheni uzinzi ukimwi adhabu ya ukimwi itatumaliza pia inaniuma sana watoto wanavyotupwa,mimba zinazotolewa bila hata aibu,dada acha hizo nakusihi,kwa jina la Yesu ushindwe.vijana wenzangu ni hayo 2 nilitaka kuwaasa.
Naona hapo juu umeongela
dhambi moja tu ( Uzinzi)
Kila mtu atamrudia Mungu wake
akiwa tayari .. asante sana kwa ujumbe lakini...
usia huu nauwasilisha kwenu ninyi wana jf,ili wote kwa ujumla tuwe chachu ya mabadiliko,maana mambo 2nayofanya cjui YESU akirud 2taendaje naye kwa matendo ye2 maovu.jamani tuacheni uzinzi ukimwi adhabu ya ukimwi itatumaliza pia inaniuma sana watoto wanavyotupwa,mimba zinazotolewa bila hata aibu,dada acha hizo nakusihi,kwa jina la Yesu ushindwe.vijana wenzangu ni hayo 2 nilitaka kuwaasa.
Hiyo tayari itakuwa lini dada AD? Ndo maana kaka hapa anatukumbusha ili walau tuiharakishe hiyo tayari kabla tayari haijatuharakisha kukutana na muumba we2!
Depends
hiyo tayari inaweza kuwa sekunde
hii, dakika hii, lisaa hili pale mtu
atakapoamua kumrudia Mungu kwa
Wake kwa vitendo na maneno ..
na kama hatuko tayari na tunasema
Tumemrudia Mungu si utakuwa unafiki tu dear....
Kuna mchungaji kabaka huko iringa huyu mbona alimrudia mungu na huwa anaongea nae sana Na karape mwanafunzi,kurumdia mungu ni swala pana ,HATA KUTOFANYA KAZI UNAJUA NI DHAMBI,sababu hutaweza sapot kazi ya Mungu! Nimeshudia walokole wengi ni wachoyo,wavivu,walafi,wanazini kimyakimya (UKIMWANGALIA MWANAMKE KWA KUMTAMANI UMEKWISHA ZINI NAYE)tunaokolewa kwa neema wapendwa unless kama kwa sheria nikazi kuuona ufalme wa Mungu! Na asikiaye afahamu!
Haika sana mndoru,norera cha loiNakubaliana na wewe 100%, ila huo utayari unakujaje? si kwa kusikia maneno kama haya? then linakugusa na unaamua kubadilika?....jus thinking aloud!
Nakubaliana na wewe 100%, ila huo utayari unakujaje? si kwa kusikia maneno kama haya? then linakugusa na unaamua kubadilika?....jus thinking aloud!
Mbona kila mtu leo ananiongelesha kichaga??!Haika sana mndoru,norera cha loi
Kuna mchungaji kabaka huko iringa huyu mbona alimrudia mungu na huwa anaongea nae sana Na karape mwanafunzi,kurumdia mungu ni swala pana ,HATA KUTOFANYA KAZI UNAJUA NI DHAMBI,sababu hutaweza sapot kazi ya Mungu! Nimeshudia walokole wengi ni wachoyo,wavivu,walafi,wanazini kimyakimya (UKIMWANGALIA MWANAMKE KWA KUMTAMANI UMEKWISHA ZINI NAYE)tunaokolewa kwa neema wapendwa unless kama kwa sheria nikazi kuuona ufalme wa Mungu! Na asikiaye afahamu!
BUT si wote wanaomngojea Yesu mwokozi wa ulimwengu.Mbona kama umebagua mparee?