nobody knows but me
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 525
- 362
Mkuu....zinatofautiana bei kulingana na ubira wa camera..zipo tunazozifunga kuanzia 1,500,000 kwenda juu(highly reccomended camera) na zingne tunazifunga kwa bei chini ya million I moja na nusu...( hizi hazipo clear na huwa znahtaji service za Mara kwa mara ) baada ya mchanganuo mteja mwenyewe ataamua..System nzima ya cctv bei gani ya camera 4
REVELATION SECURITY SERVICES COMPANY, tunauza vifaa vyote vinavyohusika na ulinzi, Tuna wataalafu walobobea katika kufunga vifaa vya ulinzi na pia tuna walinzi.karibuni kwa vifaa vya ulinzi na walinzi kwa ajili ya majumbani, maofisini na maeneo yetu ya biashara.View attachment 416095View attachment 416097View attachment 416099
Zipo mkuu....karibujamani hamnaga camera ambazo mtu sio rahisi aione maana nataka nifunge chumbani kwangu na mke asijuee yani iwe siri ni mimi tu
brother unataka kufa kwa ugonjwa wa moy aujamani hamnaga camera ambazo mtu sio rahisi aione maana nataka nifunge chumbani kwangu na mke asijuee yani iwe siri ni mimi tu
Kupata mchanganuo ndo hadi nije huko??Mkuu....zinatofautiana bei kulingana na ubira wa camera..zipo tunazozifunga kuanzia 1,500,000 kwenda juu(highly reccomended camera) na zingne tunazifunga kwa bei chini ya million I moja na nusu...( hizi hazipo clear na huwa znahtaji service za Mara kwa mara ) baada ya mchanganuo mteja mwenyewe ataamua..
karibu mkuu..
Zipo Tabata- kinyerezi mkuuOfisi zako ziko wapi?
Kama upo karibu mkuu(tupo Tabata -Kinyerezi) ni vyema ukafika katika ofisi zetu ili upate maelezo na kuona vifaa vyenyewe...Ila kama upo mbali mkuu unaweza kuni-pm namba yako tafadhali
jamani hamnaga camera ambazo mtu sio rahisi aione maana nataka nifunge chumbani kwangu na mke asijuee yani iwe siri ni mimi tu