Jamani naomba msaada wenu katika kujua bei ya PVC inayotumika kufunika paa la nyumba kwa nje, mikanda yake pamoja na misumari yake inayotumika.
Samahani kwa usumbufu[/QUOTE
Mkuu....unazungumzia PvC board zinazowekwa nje baada yakupaua? Km nihizo....zipo za Elf 15 na elf 13 na elf 9500/- Urefu 20ft....Zile angle zake ni elf 3 Kila la heri ndg
Asante sana mkuu kwa msaada wako. Umesema kuna za elf 15, 13 na 9500 tofauti ni nini mkuu?
Bei niliyoambiwa kwenye simu na fundi wangu ni ya ajabu mno.