VIFAA VYA SALOON VINAUZWA 780K

zubery

New Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Hello?,
Nauza vifaa vya salon kwa jumla 780K , Sababu ya kuuza ni kushindwa kuisimamia biashara hii kutokana na shughul zangu za kila siku.
Mashine,Kiti kimoja cha kunyolea, Kiti kimoja cha wateja (watu wa 3) , Sofa moja la watu wa tatu ,Sterilizer 1, King'amuzi ,TV na Deki (kama utahitaji), Vioo viwili vikubwa ,Fan n.k
Karibuni 0745775598 whatsapp/Calll
Napatikana Dar Kimara
Karibuni
 
Biashara ya Saloon za kiume ina changamoto sana. Naona nyingi zinafungwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…