Habarini wakuu,
Nahitaji duka la kununua vifaa vya hardware (kama misumeno,nyundo, bawabu, pima maji etc ) kwa bei ya jumla maeneo ya Kariakoo. Duka lenye kuuza bei ya chini kabisa kupita mengine. Itapendeza nikipata jina duka,mtaa etc.
Natanguliza shukrani