kipoke KIPOKE
Member
- Apr 20, 2015
- 54
- 9
Ndio maana kuna kipindi safari zake za Vietinam zilikua haziishi! Aliwahi kusema siku moja wakati wa hafla ya kuchangia madawati kua alienda Vietinam akapewa vizawadi ndio maana alichangia hela nyingi kwenye hafla hiyo! Hapa hakuna cha Mtoto wa mkulima wala nini! Fiksi tupu.Kampuni ni yake kwa % kubwa na lengo lake kuiua TTCL labda anadhani hatujui kama ana hisa nyingi huko,,
na ndiyo mjue kuwa ni jinsi gani serikali iliyoko madarakani ilinyodhamiria kuua makampuni yaliyoko Tanzania, lakini tutafika tu
Kampuni ni yake kwa % kubwa na lengo lake kuiua TTCL labda anadhani hatujui kama ana hisa nyingi huko,,
na ndiyo mjue kuwa ni jinsi gani serikali iliyoko madarakani ilinyodhamiria kuua makampuni yaliyoko Tanzania, lakini tutafika tu
Hii naona kama comedy hivi Pinda mtoto akiugua unatafuta mwingine?
Ni swali ambalo watanzania wengi sana tunajiuliza tuna kampuni kubwa sana za mawasiliano nyingi zikiwa za watu binafsi na nyingine kubwa ambayo inasuasua TTCL Ni ya serikali leo waziri mkuu anawakaribisha wawekezaji wanaofanya same business na TTCL SASA NIA YAKE NI NINI ?Kama haifanyi vizuri ni bora ikafutwa ndio ulete kampuni nyingine ya serikari.
Sisi tunataka huduma safi na bora ila tunahoji je serikali inaweza ikatumia wawekezaji kwenye mawasiliano ya nchi?maana kwa kuazia halotel wamepewa shule karibia laki tatu hospitali zote vijiji vyote wameweka minara tena mingine wanatumia ya TTCL
ikiwa hujui bora kukaa kimya Halote/Vietell ni kampuni ya Jeshi la Vietnam
Mkuu ni kweli inaweza isiwe tatizo, lakini ujue kuwa serikali ilinunua mkongo kwa kampuni ya sea com, katika nchi mojawapo huko Ulaya tena kwa gharama kubwa, na ndiyo maana hata hawa provider wengine kama voda, tigo nk wamepitishia data zao katika huo mkongo wa Taifa. sasa iweje halotel wao waruhusiwe kununua huko huko sea com ambako serikali imenunua na private provider nao wanunue huko?Hiyo inaitwa Publc private partnership (PPP).K:ama mchakato wa manunuzi wa PPRA umefuatwa binafsi sioni tatizo hata kidogo.