🤣🤣K'Naan - Wavin' Flag - Coca cola , hii kwangu kwa nyimbo za kombe la dunia hii ni the best .
kuna baadhi ya machalii mtaani walikuwa wanaiongezea maudambwi dambwi kama hivi.
"Kwea pipa na masefuria,
"Na vijiko vya kupakulia
"kunywa pepsi ujue kusheki,
"kula kuku unyoe kiduku,
Mama mush'ka kaj.k*jelea
watoto wake wanamzomea
They made my day 🤣🤣🤣🤣