Kuna binti ya ndugu alikuwa miongoni mwa wasimamizi wa uchaguzi, anasema kwenye kituo chao eneo la Kisesa Mwanza, mpaka saa 6 mchana walipokea wapiga kura 3 tu. Ilipofika hiyo saa 6mchana, akaja mkurugenzi, akawaambia wachukue karatasi na kuanza kutick kwenye jina la Samya na wagombea wote wa CCM. Walifanya hiyo kazi kutoka muda huo mpaka saa 10 jioni. Hiyo inaonekana ilifanyika kwenye vituo vingi. CCM na hawa watendaji wa Serikali ya CCM, kwa kweli ni ushetani mtupu. Ni aheri tungeendelea kuwa chini ya wakoloni.
K
Ukisoma hata historia, kwenye ucjaguzi ule wa kura 3 wakati wa mwingereza, ulikuwa halisia, siyo hizi chaguzi takataka zinazoongozwa na Serikali hizi bandia za CCM. Watu walipigania kutoka kwenye ukoloni wa mzungu, kisha tukaingia kwenye ukoloni mbaya zaidi wa CCM!!