ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,113
-cry on ش
Alikurupuka mnoJamaa anaonekana kabisa alitoka wcb bila kuwa na plan yoyote.
Huyu jamaa studio anayorekodia imeharibu Sana mziki wakeAnaonekana yupo makini na amejipanga kisawasawa.
Rich mavoko sijui anafeli wapi,hatutendei haki wapenzi wa muziki mzuri.
Enjoy