AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
Mkuu hapa ni mahali pa kuweka picha sio maelezo matupu hatutaki Mkuu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=179750" target="_blank">AZUSA STREET</a></b> Samahani kama nimekukwaza unisamehe kwa jina la Bwana YESU.hawa jamaa wamepigwa pichwa wakiomba maombi ya nguvu. walikuwa wanasali katika kanisa lao, ikatokea wakaona Tornado inakuja, wakatoka nje wanaanza kuliitia Jina la Yesu na kuomba mambi ya nguvu hadi tornado ikarudi haikuwafikia. hapo ndipo unaweza kuelewa kuwa wakati mwingine adui huwa anajificha kwenye vitu vya asili,shetani anaweza kujificha kwenye mafuriko, kwenye mvua ya mawe, kwenye ajali mbalimbali ili kuua, lakini wamtumainio Bwana, watapata nguvu mpya, watapaa juu kwa mbawa kama tai, watapiga mbio wala hawatachoka. KILA ATAKAYE LIITIA JINA LA BWANA ATAOKOKA. una jambo lilalokusumbua? liitie Jina la Bwana, utaokila hakila.
[video]Prayer in numbers and power of Prayer. Wow![/video]
hahaha, mzizi mkabu leo umenifurahisha sana. Mungu akusaidie hata uko uliko kwa wagiriki. umeibofya ukasikiliza lakini uone Nguvu za JIna la Yesu? Jina lipitalo majina yote? umependa kuona Nguvu hizo, kama umependa mbona umekimbilia lawama tu hata shukran kwamba bora nimekuwekea uone Nguvu za Mungu haujashukuru mzee. nakutakia siku njema.Mkuu hapa ni mahali pa kuweka picha sio maelezo matupu hatutaki Mkuu AZUSA STREET Samahani kama nimekukwaza unisamehe kwa jina la Bwana YESU.
hapo ni ufilipino. tornado zinatokea kila wakati, na hapo ilikuwa inakuja wakati wao wako kanisani, wakasimamisha ibada wakaanza kupiga maombi hadi tornado ikarudi. huko marekani na kwingine watu huwa hawaombi wakiona tornado tu wanaanza kukimbia hata kukumbuka kuomba huwa hawakumbuki. ukiwa na imani kiasi cha punje ya haradani unaweza kuhamisha hata mlima aisee.Ingekuwa ni hivyo yasingetokea mafuriko wa matornado huko marekani na typhoons za Phillippines zisingekuwepo.
Lakini kila leo ndiyo kwao.
hayajakukuta. siku yakikukuta itia Jina la Yesu, anaokoa anaponya na anakupenda sana.Za inzi changanya na zako!
Mkuu hapa ni mahali pa kuweka picha sio maelezo matupu hatutaki Mkuu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=179750" target="_blank">AZUSA STREET</a></b> Samahani kama nimekukwaza unisamehe kwa jina la Bwana YESU.