knock knock
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 326
- 384
labda baba wa kamboKwa nini maalim seif asiwe baba wa taifa la jamuhuri ya watu wa zanzibar? ni kiongozi mwenye heshima kubwa kwa wazanzibari ambao siku zote humuunga mkono na hakuna ata dalili wazanzibari kumuacha mkono
usishirikiane na mpemba na mchaga..tofauti yao ni mmoja yuko kisiwani mwingine mlimanianasema wachekeni ccm hahahaa, nilichopenda anasema eti mnaleta Lipumba analindwa na polisi, je ana watu wako wapi?
Umenena kweli mkuu...huyu alimsaliti Aboud Jumbe kwa kutoa siri kwa Nyerere hata haaminiki huyu na Nyerere kashasema msimpe urais Maalim maana Nyerere anajua uzaifu wakeusishirikiane na mpemba na mchaga..tofauti yao ni mmoja yuko kisiwani mwingine mlimani
Seif anafanya wafuasi wake kama mazuzu
Akiwa katika ziara maalum Kisiwani Pemba Katibu MKuu wa chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad amefanya mkutano wa ndani na kuongea na Wanawake na wajasiriamali JUKECUF ikiwa ni pamoja na kupokea wanachama wapya ambao wamejiunga na Chama cha Wananchi CUF.
Na: Mwandishi wetu.
anasema wachekeni ccm hahahaa, nilichopenda anasema eti mnaleta Lipumba analindwa na polisi, je ana watu wako wapi?
Mkuu wenyewe wanampenda,yeye hatumiii mabavu na vitisho,anawapiga CCM kwa vicheko tu,...hebu na wewe tukucheke kidogo hahahahahaaaaaaaaaaSeif anafanya wafuasi wake kama mazuzu
Hata mttoto wa miaka 7 ukimdanganya kila siku atagundua tu janja yako
Huyu sefu mara aseme jini ameshapanda bado kutaja jina tu,mara aseme wiki ijayo anapewa nchi mpaka leo miaka mitatu hakuna dalili za urais wa mezani,lakini mazuzu yanamkubalia tu
Hebu na wewe tukucheke kidogo ...hahahahaaaaa hahahahaaaaaaaaa hahahaaausishirikiane na mpemba na mchaga..tofauti yao ni mmoja yuko kisiwani mwingine mlimani
Tukucheke na wewe kidogo hahahahahaaaaaa hahahaaa hahahaaaaaaaUmenena kweli mkuu...huyu alimsaliti Aboud Jumbe kwa kutoa siri kwa Nyerere hata haaminiki huyu na Nyerere kashasema msimpe urais Maalim maana Nyerere anajua uzaifu wake
Umenena kweli mkuu...huyu alimsaliti Aboud Jumbe kwa kutoa siri kwa Nyerere hata haaminiki huyu na Nyerere kashasema msimpe urais Maalim maana Nyerere anajua uzaifu wake