hapa ndio naona umuhimu wa desktop zaidi kuliko laptop kwa upande wa gamers
desktop ni rahhisi sana kuifanyia mod, kama kuongeza RAM, ku badili/ongeza HDD/SSD, processor, nk
laptop ni ni mziki kwa baadhi ya mambo, na ina limit mf: idadi ndogo ya RAM slots, vigumu sana kuweka GPU ya ziada ambalo ndio tatizo ulilonalo hasa
huwezi cheza iyo fifa kwa iyo GPU (uchwara ya PC yako ) mkuu, kama mdau alivyoongeza hapo, utaichoma iyo gpu kama utafosi