Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
wanaume ndio chachu /sababu kubwa mpakakufikia wanawake kutupa watoto, Tafadhari wababa tunaomba mkubali kuhudumia mimba/ watoto zenu,
Sikiliza , Si kwa nn wanapanua miguu, inakuta alikuwa anafanya yale ili apate jao 1000/= tu ya kunywa chai lakini Mungu si juma akashika ujauzito na pesa ya kutolea hana. Sasa Hapo usilaumu kwa nn wanapanu , la muhimu ni kulaumu kwa nini wakipanua hawatumii kinga. maana mama wa huyu mtoto amngetumia CONDOM asingeshika mimba.kwa nini wanapanua miguu yao kama wanaona hawana uwezo wa kuwa mama?
Jamani mapenzi matamu kweli kweli.sasa sijui huyoo mama wa hicho kichanga alibakwa,alikuwa mapenzini na njemba likakataa mimba ama vipi?Adi inafikia hatua ya kuzaa na kuamka kukachimbia katoto na kukafukia.
Ila Mungu mkubwa jamani pampja na kufukiwa kamepigania uhai wake adi kamepona.wasamalia wema wakakaona wakakafukua na kukapeleka hospital.
Akina kaka jamani tumieni busara jamani msikatae viumbe vyenu.
Huyu mzima bado au amekufa? Inasikitisha sana wajameni.
Sikiliza , Si kwa nn wanapanua miguu, inakuta alikuwa anafanya yale ili apate jao 1000/= tu ya kunywa chai lakini Mungu si juma akashika ujauzito na pesa ya kutolea hana. Sasa Hapo usilaumu kwa nn wanapanu , la muhimu ni kulaumu kwa nini wakipanua hawatumii kinga. maana mama wa huyu mtoto amngetumia CONDOM asingeshika mimba.
ALL IN ALL MTOTO NI MZURI .
View attachment 81164
Na huyu je, anakosa gani?