Viatu classic (mtumba)

wapondaj weng ni maskin usiwajal nitext whatsapp 0652472486

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu sorry sikukuchek sikuwa online kwa muda kutokana pia na kukosa mzigo
 
Mhh!..mbona hudaki viatu vzr mkuu?? Uwe unawahi unapata mzigo mzur
Kuna jamaa yangu mmoja yuko mlango mmoja, hivo viatu vyake vya kawaida ila sasa bei
,,

Bei ilikuwa poa miaka ya nyuma unapata kiatu kweli ila kwa sasa labda uwe karibu na wale wafungua mizigo ndo upate mzigo wa kueleweka,, jana tu nimechukua sandroz moja matata kwa bei ya buku 7 made in Italia tu,, lakini kwa pemben kuna jamaa mmoja alikuwa yuko tayari atoe elfu 45 ili yeye akauze elf 75,, ila Muuzaji akamwambia huyu dogo langu amekuwai,

Nikasema duh, watu wanapigwa aiseh,,

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Biashara ya mtumba inatakiwa kujituma balaa!.. na usiwe na roho mbaya watakubania!..dah sandle7000 yeye alitaka kwa 45? Duh
 
Mhh!..mbona hudaki viatu vzr mkuu?? Uwe unawahi unapata mzigo mzur
Huwa sipendi kukomenti kwenye huu uzi wa mwamba, maana ninafahamu nitatukanwa ama kuonekana mwenye wevu pindi tu nitakapo andika ukweli ninao uona hapa
 
Huwa sipendi kukomenti kwenye huu uzi wa mwamba, maana ninafahamu nitatukanwa ama kuonekana mwenye wevu pindi tu nitakapo andika ukweli ninao uona hapa
Hamna mkuu wala hutaonekana mwenye wivu kila mmoja na mtazamo wake ni kawaida kwa jamii yoyote iliyo staarabika hasa hapa jf
 
Hamna mkuu wala hutaonekana mwenye wivu kila mmoja na mtazamo wake ni kawaida kwa jamii yoyote iliyo staarabika hasa hapa jf
Sawa mkuu, ebu jitahidi basi kutupia bidhaa classic ili walau picha ziendane na hii thread yako.
Asante
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…