Duuh! MzeeHaya maviatu yote, ya wakuja asee haswa wasambaa na wazee wa kanda ya nyonyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata jeusi au la brown unitagSize:41
Price:70,000/=
Buyu hilo la mtumba kali sanaView attachment 1386829View attachment 1386830View attachment 1386831
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuharibu biashara ya mwenzio mchaw wwHaya maviatu ya namna hii unavitoa wapi mkuu? Ni Mimi tu ndio sivielewiiiiiiii! au? mbona mirangi rangi kibao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu brown niliipata wakaiwahi ikitokea tena nitakujulisha mkuu
Nashukuru mkuu watu wengi humu comment zao katika nyuzi za biashara ni kukatisha tamaa tuGwele keep moving.
Nimefurahi hawajakuteteresha.
Mtu anaponda balenciaga mpaka nimebaki nashangaa.
Unaponda fashion mpya ya balenciaga nyie watu mnaangalia hata fashion cop kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao nimewazoea mkuu kikubwa napata wenye uhitaji nafanya nao biashara hao wacha watupe challenge ....