Viatu classic (mtumba)

shida mtumba unaouza ni wa kichina, tafuta mtumba wa mzungu hiyo ya kichina achana nayo maana mchina mpya dukan ndo 25k
 
Daah!
koment za humu leo kwakweli hazijaniacha salama nimecheka kweli!!

Ila kamanda weka viatu vizuri, kila lakheri mpambanaji
 
Duh,kama walivyosema wadau hapo juu neno "CLASSIC" hujalitendea haki,mm binafsi katika viatu vyote ulivyopost hamna ninachoweza kukivaa
 
Duh,kama walivyosema wadau hapo juu neno "CLASSIC" hujalitendea haki,mm binafsi katika viatu vyote ulivyopost hamna ninachoweza kukivaa
Usijali bado naendelea kupost na wengine wanachukua na wewe utakuja pata
 
Adidas superstar
Size: 43/44
Price:30,000/=(unaletewa ulipo kwa dar)
Kiatu kipo poa sana na ni mtumba toka Uk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…