VIA BROWSER with320kb small but makes sense ,a fastbrowser

kipaboy

Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
83
Reaction score
88
Browser yenye kb320 inayo okoa space kwenye simu yako ,iko faster ,no ads kwa wale wanaochukia ads content, browse smoothly.Vilevile ina incognito browsing mode kwa wale wasio penda ku keep browsing history.Utofauti na browser nyingine kama chrome, ucbrowsers, opera browsers ,ni kwamba haili space ya simu yako napia unaweza switch kwenye search ingines mbali mbali kama Badiu, Google, Bing.
Pata app kwa link Download Via Browser - Fast & Light - Geek Best Choice 3.2.0 APK | APKPure.com
Pia unaweza pakua kupitia playstore or appstore au kwa kusearch kupitia searching engines mbalimbali
 
BiashaaaaaaaĂ aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaraaaaaasaaaaaaaaaaaaaaaaasaaawaaaawaawwww
 
Ukiwa na hii broswer sahau tena kuhusu ads
 
yah internal inakula kama 8mb ivi, ila inatumia ram vibaya, 130mb?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…