Vi-mbwa vinauzwa

momtwo

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
21
Reaction score
0
Vipo ubungo elfu 15
 

Attachments

  • 1415332998171.jpg
    45.7 KB · Views: 202
  • 1415333027727.jpg
    48.7 KB · Views: 205
mkuu lugha yako dunishi sana unaweza kosa mteja vi mbwa na wakati ni mbwa wazuri tu na wanaafya.
 
ni wazuri kwa kweli...ningekuw jijini ningewanunua....msaada kwa anayejua mntapata wapi ka hao jijini Arusha.
 
Hawa ni mbwa wa aina gani?
Mi vikiwa vipuppy nashindwa kuvitofautisha...
 
Hahahaha vi-mbwa du ili neno limenichekesha sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…