nataman kuitwa kwenye hiz interview kuwe kunaandikwa kwenye magazeti watu wawe na taarifa kuwa hawakukidhi vigezo basi hata website ya organization iwe inaonyesha hilo.

Nafikiri ni utaratibu mzuri lakini ni muhimu ku-consider financial implications zake. Kukwepa gharama ndo hupekea kuwepo kwa matamko tuliyoyazoea ya ...only shortlisted candidates will be contacted.