Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Bwana ndiwe mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu,,,,, naomba niifanye mie hiyo kazi natafuta ajira
Sifa za binti unayemtaka tumeziona. Tupe za kwako pia basi. Lakini hiyo signature yako mmmhhh!!!!Wakuu nipo Siriasi wakuu
Mpaka bima???Dah niPM mshahara tunaweza tukafikia makubaliano!!Wakuu kwangu mimi pouwa kabisa kama munaye au anayejua sehemu wanapopatikana kwa Agent. Hata mimi nimesema nahitaji Agent watu wanaleta utani kwa upande wangu Hata osha nguo kuna washing mashine mbili. Rice Cooker,Presha Cook natumia umeme na nina Jenerator kuubwa maji nimechimba kisima nina gari 7 hammer moja sasa huoni hapo na pia nitamkatia bima ya Greed card asanteni wakuu
Mbona suala la kama unae mke au huna hujalizungumzia?
We utakua unatafuta tu Mke,