Ni kwamba, mwaka 2017, timu ya Bootstrap ilifungua pull request kwa lengo la kuiondoa jQuery kwenye Bootstrap isiwe tegemeo kwa plugins mbalimbali kama ilivyokuwa hapo hawali kwenye version zilizopita na si hivyo tu internet explorer haitakuwa supported tena.
Yawezekana ni kwakuwa Jquery inaanza kushuka kwenye soko na baadhi ya kampuni kubwa zimeiacha.
Ili kufupisha mada
Cheki plugins zilizokuwa zinategemea jQuery haitakuwa hivyo tena na baadhi feature zimeondolewa kwenye bootstrap angalia hapa mweneyewe pull request.
Kwa maana hiyo tutarajie Bootstrap mpya yaani version 5, isiyotegemea tena Jquery bali vanilla javascript.
NB:
Jamaa wamesema kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa mapungufu mengi kwenye hiyo Bootstrap v5 kwasababu ya mabadiliko makubwa yatakayokuwa yamefanyika ila unaweza tumia jquery au la.