Yap!!! Nakubaliana na ww kabisa Loma anaweza kustrugle hapo kwenye powe punch lakin sion akimpa dogo hiyo nafasi..Hawa mafundi wawili nimebahatika kuangalia mapambano yao mengi, kama ilivyo kwa mtazamo wa wengi namimi naunga mkono Lomachenko ana nafasi kubwa zaidi ya kushinda kama ni betting naweka mzigo kwake kwa sababu zifuatavyo;-
1. Wote wana move, ila movement za Loma ni za Sayari nyingine
2. Wote Wana skills ila Skills za Loma ni za Sayari nyingine
3. Boxing IQ, wote wanayo ila Loma ni next level
3. Experience, Loma ana experience kubwa sana huko Ameatur, na alipoingia Pro kakutana na wapinzani wagumu kuliko Teo
4. Pumzi, Loma speed anayoanza nayo round ya kwanza ndio anamaliza nayo round ya 12, yaani kwa stamina aliyonayo nahisi anaweza kupigana hata round 20[emoji1]. Teofimo Lopez kazoea kumaliza mapambano yake mapema, sijui kama akienda Round 12 atakuwa na uwezo wa kumuaoutpoint Loma
5. Speed, hapa naona kama wanaendana
NB: Kitu pekee ambacho Teofimo anamzidi Loma ni 'power punch', ana ngumi kali sana kiasi kwamba Loma akipoteza umakini anaweza kudondoshwa wakati wowote, na sitoshangaa sana endapo Loma akipigwa KO ya kustukiza
Loma inawezekana kabisa kupigika japo sio rahisi, kwa mtazamo wangu Linares alikuwa anaongoza kwa point kabla hajapigwa KOYap!!! Nakubaliana na ww kabisa Loma anaweza kustrugle hapo kwenye powe punch lakin sion akimpa dogo hiyo nafasi..
Yaan kwa ule upiganaji wa lomachenko najiulizaga inawezekanaje mtu Ukakubali kupigana na mtu kama yule kwa sababu jamaa yuko level nyingine kwa kweli yaan ukiangalia yale mazoez yake lazima hofu ikuingie
Nilikuwa nataka niweke thread ya hili pambano shukrani kwa kunisaidia na umewaelezea vizuri. Hili ni pambano bora kabisa la boxing tangu Covid-19 ianze kusumbua Dunia na natumai ulingoni watatupa tunachotarajia maana hawa wote ni mafundi.
Nimesema Boxing bro[emoji1], huko UFC yapo mengi tu mazuriAwapi mkuu, tokea Covid 19 imeanza hili sio kali, kuna pambano la Goethje VS Ferguson. Lile lilikua matata sana.
Under dog Goethje alimlaza mtu mzima vibaya sana.
Nimesema Boxing bro[emoji1], huko UFC yapo mengi tu mazuri
Sijaamini nilichokiona yaan loma amenyanyasika sana leoDogo Lopez kaishangaza Dunia, Respect kwakeView attachment 1603668
Yes, alikuwa anapiga point kila round, nikaona kabisa leo mjomba kakamatika. Dogo anajua, sikutegemea kama anaweza kumuoutpoint Loma, nilihisi anaweza kushinda kwa KO ya kushtukiza ila sio kwa pointSijaamini nilichokiona yaan loma amenyanyasika sana leo
Dogo anastahili pongez
Pia loma naye alikosa plan b coz dogo alikuwa haingiliki kirahisi kama alivyodhan pia the kid is so fast yaan ile speed loma anayotumiaga kutesa watu dogo aliweza kuihandle vizuriYes, alikuwa anapiga point kila round, nikaona kabisa leo mjomba kakamatika. Dogo anajua, sikutegemea kama anaweza kumuoutpoint Loma, nilihisi anaweza kushinda kwa KO ya kushtukiza ila sio kwa point
Natamani nione rematch hapa, it was a close fightPia loma naye alikosa plan b coz dogo alikuwa haingiliki kirahisi kama alivyodhan pia the kid is so fast yaan ile speed loma anayotumiaga kutesa watu dogo aliweza kuihandle vizuri
It was a great fight kwa kweli
Offcourse It was a close fight japo majudge wamemtupa kabisa loma bu the right man won the fight so hilo la point kuwa na gap kubwa halitajadiliwa sanaNatamani nione rematch hapa, it was a close fight
Yes, wakati wa kusubiri matoke Loma alionyesha kashakubali matokeoOffcourse It was a close fight japo majudge wamemtupa kabisa loma bu the right man won the fight so hilo la point kuwa na gap kubwa halitajadiliwa sana
The body language of loma said it all he will request for the rematch i hope......shida ni kwamba watu tulimpuuza sana huyu dogo kumbe ana kitu cha tofauti hata loma mwenyewe amekuwa surprised nahic