Chief Bogo
New Member
- Jul 19, 2018
- 3
- 7
Safi sana, hicho kifaa cha kusafishia kinapatikana wapi na kinauzwa shilingi ngapi.
Shukran mkuu, ngoja nijitafute nikucheki na mimi nile vichwa huku mkoani.Vinapatikana pia ukihitaji tunakuuzia 350,000 kwa kit nzima ambayo inakuwa na kettle, sandpaper na sandpad, mask 2 hiyo chemical ya kusafishia na adapter yake
Waweza nicheki Kwa maelezo zaidi kwa namba 0716662081
Shukran mkuu, ngoja nijitafute nikucheki na mimi nile vichwa huku mkoani.
Bei gani kusafisha headlights mbili?