UZI MAALUMU KWA WAZUMBE A.K.A EMBED

thA goD

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
1,943
Reaction score
1,858
Huu ni uzi maalum kwa vijana wa Mzumbe Sec tukumbushane mawili matatu na life lile venye tumeishi.
Swaga za DR Njawa kutukimbiza msituni kisa tumedoji paredi hilo pia msisahau
Da zawadi kantini kutumiksia na michuzi ya paka ili kuteka wateja peke yake hilo msisahau. Na wale walimu wetu hodari wa kuchapia msiwasahau.
Mgomo wa 2013 msisahau mlivyotaka kumliza malamsha pale paredi baada ya kuamrisha vijana kisha wkamdindia "you may dispass" watu wakadinda aise sitahau. Njoroge Njoroge na show za kubandua wanachuo wa MU kisha kuwaza viepe for free msisahau sijui asaiv CD4 zake zipoje. Wanafunzi wa kusukuma kuongoza kwa kula Ugali mwingi (hawa vijana walikuwa na uwezo wa kufoji mpaka Meza nne hadi tano za ugali) hilo pia msisahau uni kisado. Mengine jazieni vijana wangu mimi nipo na shemeji yenu muda huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread ya tulioishia fom two itafunguliwa lini?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…