wakikuletea huku utanunua na utapanda pia maana hata uvumbuzi wa ndege ulikua wa kijinga jinga lakini kwa akili kubwa sana angalia au fuatilia simu ya kwanza utaxema hawa wazungu hamnazo. Ohoo
Huyu jamaa alibuni begi lenye matairi na alichukua miaka mingi kulikamilisha MziziMkavu nikumbushe ni maka mingapi huyu mchina alimaliza kazi yake hii??