Uyoga unapatikana bei nafuu

babilas25

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
483
Reaction score
361
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema.
Kwa wenye mahitaji ya uyoga mkavu na mbichi tutakufikishia popote ulipo (Dar pekee) kwa bei nafuu kabisa
Pia tunatoa mafunzo ya uzarishaji uyoga
Tunapatikana Ukonga tupigie kwa #
+255713136486 au

+255 785 455 412

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei nafuu ndio bei gani hiyo

Tuyaache kama yalivyo
 
2000 kwa ujazo wa gram 100 mkavu
Mbichi 10,000 kwa kilo[/QUOTE]
@babilas25 nimewasiliana na mwenye uyoga...bei zake wala si kama ulivoonyesha...1kg ya mkavu ni 60,000TZS, mbich hauzi kwa kipimo cha kilo,bali 10,000tzs ni kwa gm120.

tutafika lakni....
 
Mkuu please nipe elimu PM au hapa kama hautajali.
 
Sijui ushamba, hii kitu siiwezi siiwezi hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…