bubblymolly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 499
- 714
nenda utapeliweWhat a coincidence?
Nimeona hiki kitu mchana nikataka fanyia follow up mambo ykawa mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
nenda utapeliwe
WAENDE KUJISAJILI SOKO LA HISA KAMA SIO MATAPELI ILI WATU WAKANUNUE HISA ZAO SOKO LA HISAUmewahi kutapeliwa? Au kuna watu wametapeliwa?
nenda ofisi kwao mkaandikishane weka mkataba wa kisheria uwe na uhakika wa kupata hela yakoHabari zenu wakuu,
Katika pitapita zangu kwenye mtandao wa Instagram ninekutana na tangazo la Mr Kuku la kukaribisha wawekezaji, ambapo kiasi utakachowekeza utapata mara mbili yake baada ya miezi 6.
Nmejaribu kuuliza na kutafakari mwenyewe sijapata majibu nmeona vyema nililete kwenu kwa ufafanuzi zaidi.
1. Is this legit?
2. Incase wanapata loss na wewe uliye-invest utapata bado ile double?
3. Waliowahi kuinvest kwake naomba experience yao tafadhali.
Ntashukuru kama mta-avoid kebehi, matusi na masihara. Asanteni
nenda utapeliwe
Kuinvest wapi? Ni bora anaekunywea pombe kuliko kutapeliwa. Hii miradi imekaa ki pyramid scheme mwisho wa siku watu watalia. Due diligence ya hali ya juu inatakiwa ufanyie kazi ikiwa ni pamoja na kujua wamesajiliwa, na wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria. Vinginevyo ni upumbavu kuwekeza kwao bora ukale supu au uhongeWabongo bwana kunywa bia kwa laki saba usiku mmoja wanaweza..ila kuwekeza laki saba kwenye biashara mtihani..ukiona 700k ngumu kuinvest basi wewe sio mfanyabiashara
Si bora anywe hizo bia, ajue kabisa ni pesa yake ametumia kuliko, ku invest kwa wahuni??! Yaani eti kwa kuwa mimi ni mfanya biashara, niwe mjinga tu ku invest, hata kwenye investment za kitapeli!!!??Wabongo bwana kunywa bia kwa laki saba usiku mmoja wanaweza..ila kuwekeza laki saba kwenye biashara mtihani..ukiona 700k ngumu kuinvest basi wewe sio mfanyabiashara
Ivi yule mama ni asikari kweli ama ni magumashi ya kuvutia watejayale yale ya jamaa fllan walikua kule ukonga wanaitwa NAMAINGO.
halafu huyu mista hen yy kweye tangazo lake kamuweka yule mama anasema yy ni askari polisi, ningekua mm ndio Siro ningekua nishamfuta kazi,.
Ila uzuri wake hao watakaowekeza kwenye huo mradi siku wakijatapeliwa basi nyumba yake joti itakuwa rehani