Tanzania ni Miongoni mwa nchi ambazo Mtawala wake Mkuu (Rais) Analipa Kipaumbele Swala la Uwajibikaji hususani kwa Watumishi wa Umma
_
Unavuna unachokipanda(Ukifanya Kazi Kwa Bidii unapata Matokeo Chanya
_
Kila mtumishi kwa nafasi yake ahakikishe anapambana kuliletea taifa maendeleo kwa kuzingatia kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu