Uvundo feri.

mpemba mbishi

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,132
Reaction score
188
Leo nimeenda kigambon nimeskia harufu mbaya pale mlangon karib na sehem ya
kuzia tiket (mlangoni) iv maguful halijui hili au ndio 2pige mbizi cc wengine akina masawe maji hatuyawez? Yani
haruf mpaka mwenzangu katapika.
 
Mkweree mzee wa kuzurura pia anaipita fresh pale ikulu.
 
Leo nimeenda kigambon nimeskia harufu mbaya pale mlangon karib na sehem ya
kuzia tiket (mlangoni) iv maguful halijui hili au ndio 2pige mbizi cc wengine akina masawe maji hatuyawez? Yani
haruf mpaka mwenzangu katapika.

Yaelekea hujapita siku nyingi ile harufu mbona ni ya kila siku halafu ni ya kawaida tu, wenyewe unawakuta wanakula hata habari hawana yaani wameizoea harufu hata hawaisikii tena
 
Tulishazoea sisi wana Kigamboni, tunakamuliwa kila siku nauli lakini hata hatujui inafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…