Wiki iliyopita yalitoka majina ya kuripoti kazini kwa watu wa kada mbalimbali, lakini sijaona majina/ majibu ya tuliofanya interview Tantrade... Sasa, je, mlishaita au ndo bado tu majibu? Interview ilifanyika sawa na wale wengine mfano BRELA.
ata me nawashangaa kama wamechakachua vile kwa sababu watu tulikuwa wachache wameshindwa nini kuwaita watu....wanautapeli nn..haiwezeka miezi mitatu ndo uitwe kwenye usaili alafu tena mpaka sasa miezi miwili tena hawajaita kwa ile interview ya tantrade kazi moja miezi 5 bado hakieleweki mpaka sasa
:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed: