Utumishi: Usaili wa Jan. 2014

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wadau

Hawa jamaa wa Tume ya ajira kuna usaili wamefanyisha pale taasisi ya elimu ya watu wazima mnamo tar.6&7.2014.

Then usaili mwingne ukafanyika tar 28&29.2014 pale Kituo cha elimu Kibaha, ila hadi leo kwa sehemu zote mbili hakuna feedback ya watu kuitwa kazini wala nini.

Kama kuna watu humu wanaotokea hiyo tume au mwenye taarifa za hili suala atupe fununu.
 
Vumilia bana watatoa tu mbona juz tu mmefanya ....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…