Utumishi hakuna ajira hata moja

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,803
Reaction score
60,649
Wakuu hii sio hali ya kawaida sidhani Kama nchi nyingine hali ipo hivi yaani hata post moja tu hamna...suala la ajira ni gumu kote lakini sitaki kuamini kama Serikali inashindwa kuwa na utaratibu kuwa kila mwezi imwage ajira 500 tu walahu kidogo tungepunguza tatizo maana watumishi Wanastaafu na wengine wanafariki.


 
Hakuna nchi isio na tatizo la ajira..alaf kuajiri watu 500 kila mwezi huo mzigo hakuna nchi Inaeza fanya ivo
 
Hakuna nchi isio na tatizo la ajira..alaf kuajiri watu 500 kila mwezi huo mzigo hakuna nchi Inaeza fanya ivo
Watu Mia tano gawanya kwa mikoa 30=kila mkoa uoatiwe wafanyakazi 17...means kila wailaya ipatiwe wafanyakazi tuseme 2-3...kweli kabisa unaamini Serikali haiwezi?
 
Bongo nyoso
Tango nionso alobelelaka nga Je t'aime!
Chérie na ngai aza kitoko!
Parfois l'amour est compliqué mais
Chérie à moi est toujours romantique!
Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…