naija-lojja
Senior Member
- May 13, 2017
- 163
- 64
Mkuu hebu fafanua hiyo government sponsorship mtu anaipataje kwenye hivyo vyuo?Sidhani kama kilishawahi tokea kitu kama hicho, ila ninachojua mimi kama umechaguliwa kusoma diploma under government sponsorship yaani badala ya kwenda form five ukaamua kwenda vyuo vya ufindi kama MUST,DIT,ATC au Water Institute (WI) hapo kweli utalipiewa ada na utapewa pesa ya field na msosi utakuls bure chuoni (utalipiwa na serikali) ila kama wewe mwenyewe umeamua kuomba kusoma diploma either umetoka form 4 au 6 bhasi wewe utajilipia kila kitu hakuna mkopo kwa wanafunzi wanaosoma diploma isipokuwa kwa chuo kimoja tu , chuo cha maji (WI) wao wanatoa mikopo kwaajili ya wanafunzi wao tu wa dip au cert
Hiyo gvt sponsorship unaipata tu endapo kile kipindi cha kuchagua shule baada ya kumaliza form four ww chaguo lako la kwanza unaweka VYUO VYA UFUNDI na siyo FORM 5 then kama utakuwa na vigezo vya ulichokiomba bhasi lazima upate gvt sponsor mfano mzuri kwa madgo wa mwaka huu wote ambao hawakushoboka na advance wamepata na ukiingia kwenye wbsite za DIT,ATC,MUST na WI utakutana na majina yao na joinning instructions zaoMkuu hebu fafanua hiyo government sponsorship mtu anaipataje kwenye hivyo vyuo?
wait wafumbuz waje jah!!!
Hiyo gvt sponsorship unaipata tu endapo kile kipindi cha kuchagua shule baada ya kumaliza form four ww chaguo lako la kwanza unaweka VYUO VYA UFUNDI na siyo FORM 5 then kama utakuwa na vigezo vya ulichokiomba bhasi lazima upate gvt sponsor mfano mzuri kwa madgo wa mwaka huu wote ambao hawakushoboka na advance wamepata na ukiingia kwenye wbsite za DIT,ATC,MUST na WI utakutana na majina yao na joinning instructions zao
NB: SIJAWAHI KUSIKIA NJIA NYINGINE YA UFADHILI WA SERIKALI KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA SO KAMA IPO HATA MIMI MNIJUZE
Kwa kuongezea tu ni kuwa unapangiwa vyuo vya ufundi kama unavyopangiwa kwenda shule za form five lakini lazima uwe na pass mark zinazotakiwa kwa kipindi cha nyuma hao waliokuwa wanachaguliwa lazima wawe wamepass masomo ya science na kuna gharama nyingine kidogo za kulipia kama shule za serikali za form five ambazo ni kama usajili ambao haufiki 50,000, ada ya mwaka ambayo ni 140,000 ,vitambulisho nkHiyo gvt sponsorship unaipata tu endapo kile kipindi cha kuchagua shule baada ya kumaliza form four ww chaguo lako la kwanza unaweka VYUO VYA UFUNDI na siyo FORM 5 then kama utakuwa na vigezo vya ulichokiomba bhasi lazima upate gvt sponsor mfano mzuri kwa madgo wa mwaka huu wote ambao hawakushoboka na advance wamepata na ukiingia kwenye wbsite za DIT,ATC,MUST na WI utakutana na majina yao na joinning instructions zao
NB: SIJAWAHI KUSIKIA NJIA NYINGINE YA UFADHILI WA SERIKALI KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA SO KAMA IPO HATA MIMI MNIJUZE
Yes you make sense ila pia hapa WI kuna mfuko wa mafund sanifushirika la german wanatoa mkopo kwa kujaza fomu maalum.wanaopata ni kidogo sana asilimia kubwa ya wanafunzi wa NTA 4-6...wanajilipia as private .kuna siku nilisikia ndalichako anafanya mpango wa diploma wapewe mikopo.sijamsikia tena sijui tamko la hawa wanasiasa linashughulikiwaje.utawala wa magu kama utakuwa na hela utatoa mkopo kwa wote miaka ya mbeleSidhani kama kilishawahi tokea kitu kama hicho, ila ninachojua mimi kama umechaguliwa kusoma diploma under government sponsorship yaani badala ya kwenda form five ukaamua kwenda vyuo vya ufindi kama MUST,DIT,ATC au Water Institute (WI) hapo kweli utalipiewa ada na utapewa pesa ya field na msosi utakuls bure chuoni (utalipiwa na serikali) ila kama wewe mwenyewe umeamua kuomba kusoma diploma either umetoka form 4 au 6 bhasi wewe utajilipia kila kitu hakuna mkopo kwa wanafunzi wanaosoma diploma isipokuwa kwa chuo kimoja tu , chuo cha maji (WI) wao wanatoa mikopo kwaajili ya wanafunzi wao tu wa dip au cert
Mbali na ivyo mkuu,kwa mfano vyuo vya mifugo kwa ngazi ya dip na cert unaweza ukapata gvt sponsor kama tu kwenye ile form unayojaza ukaandika kwamba unataka gvt au utajilipia mwenyewe mi nilisoma kwa gvt sponsor na nilitokea form 6,Hiyo gvt sponsorship unaipata tu endapo kile kipindi cha kuchagua shule baada ya kumaliza form four ww chaguo lako la kwanza unaweka VYUO VYA UFUNDI na siyo FORM 5 then kama utakuwa na vigezo vya ulichokiomba bhasi lazima upate gvt sponsor mfano mzuri kwa madgo wa mwaka huu wote ambao hawakushoboka na advance wamepata na ukiingia kwenye wbsite za DIT,ATC,MUST na WI utakutana na majina yao na joinning instructions zao
NB: SIJAWAHI KUSIKIA NJIA NYINGINE YA UFADHILI WA SERIKALI KWA WANAFUNZI WA DIPLOMA SO KAMA IPO HATA MIMI MNIJUZE
Soma post yangu hapo juuYes you make sense ila pia hapa WI kuna mfuko wa mafund sanifushirika la german wanatoa mkopo kwa kujaza fomu maalum.wanaopata ni kidogo sana asilimia kubwa ya wanafunzi wa NTA 4-6...wanajilipia as private .kuna siku nilisikia ndalichako anafanya mpango wa diploma wapewe mikopo.sijamsikia tena sijui tamko la hawa wanasiasa linashughulikiwaje.utawala wa magu kama utakuwa na hela utatoa mkopo kwa wote miaka ya mbele
Tahadhari: Hebu check faster, nafikiri maombi ya programs za certificate na diploma kupitia NACTE wanafunga kesho. Sijui kama wao pia wana round nyingine . Fanya hima.Samahani mkuu, unaweza ukaniambia ulifanyaje maana kunacourse ninahitaji niende kuisoma lakin kwa ngazi ya degree cutting points haziniruhusu lakin nikipitia diploma ninakidhi vigezo,. Naomba kusaidiwa hapo