mzanzibara-
Senior Member
- Feb 3, 2014
- 179
- 59
Naomba kuuliza katika utawala wa JK ni mema gani tutakayomkumbuka
Kwani akiwa madarakani kumeibuka mengi ya kukera wananchi
1. Richmond
2. EPA
3. Sembe ndio limelizidi kupanda chat na hakuna aliyekamatwa akashtakiwa mpaka na wala kuteketezwa kama wanavyotekeza vipodozi( Mwakyembe atupe ripoti kwani alisema kuwa keshafatilia kesi zote za sembe tutapewa majibu kimya mpaka leo
4. Nilimsikia JK akihojiwa na BBC Swahili kuhusu pembe za ndovu akasema watu wanaofanya biashara wanafahamika lakini hakutaka kuwasema, muda ukifika atawasema nina wasiwasi itapotezewa mpaka atakapotoka madarakani, wanaojua mengine watiririke