Utaoa yupi hapa!!

Mpaka yeye mmemweka humu
 
Buni kitu kingne sepenga hyo unayoleta hailipi !nani anaoa wasiojulikana

Wengi kwenye interview walikudanganya !hapo pretenders ndo wengi

Their are not real they r just live like monsoon wind
 
Buni kitu kingne sepenga hyo unayoleta hailipi !nani anaoa wasiojulikana

Wengi kwenye interview walikudanganya !hapo pretenders ndo wengi

Their are not real they r just live like monsoon wind
Mkuu wengi hao ni ke
 
Mkuu wengi hao ni ke
Sawa !si kwamba nakataa ety siyo KE la hasha wengi siyo real.

Wanawatu wao wengne wanakuja humu Kwa stress tyu wengne walisikia Kwa rafiki zao kuhusu JF
Wengne waliponunua cm waliikuta app ya JF akajalibisha Ku login akajikuta yumo mjengoni

Wengi wao wanapenda men wenye Tv na siyo malengo

Safari kufika ni mbali wao hawapendi safari x2

Kati ya hao uliorodhesha unaweza kuta wa kuoleka ni mmoja tu wengi ni wabinua makalio Insta

They are like monsoon wind they have no constant direction
 
mmmh!!! Kali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…