lovelovelove
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 270
- 270
me ke
nitumie nauli
Yako tapasali
ahsanteKaribu
mawazo yakoHakuna mgeni hapa. Ni ids changing.
duuuh aisee avatar yako tu mi hoiWahenga hatuja wahi kudanganyika aiseeee.....
Wewe ni mwanaume, tena mzowefu na mwenyeji humu jf, na hata ID yako ya zamani nimesha ing'amua
πππ(love)^3 π‘π‘π‘
Naona umeamua kutoka nje ya mada ili usiumbukeduuuh aisee avatar yako tu mi hoi
haya turudi huko nani ya mada bhasNaona umeamua kutoka nje ya mada ili usiumbuke
KARIBIAAAAAAAAAAAAAAAA.........Habarini
Jamani nimechungulia kwa nje yapata miaka mitatu, na kwa sasa nimeonelea ni vyema nikajisukumia ndani ili nami nifaudu Vinono vya humu.wakati nipo kwa nje nimevutiwa na watu wengi tu humu na nafurahishwaga na michango Yao.na hawa ni wachache wao:sakayo hornet demiss mama Sabrina evelyn salt yna2 Katoto kazuri Hajar na wengine nimewasahau jaman ila nyote mmenivutia kwakweli.so naomba ushirikiano wenuβ€β€β€β€