Japo sio wote wenye kipaji....Kuna wengine wamchongoSiku hizi kila mtu ni mtabiri na kila mtu anaangalia jambo lolote kwa jicho la tatu,
Hizi smart phone zimetuletea wataalamu wa kila kitu,mtaji uwe na bando tu na u access social media.
Yaaah mkuu that's y nimeweka 6+ maana yake ni 6 na kuendelea
Utakufa na kuteswa na roho mbaya!! utabiri wako wa roho mbaya dhidi ya simba huwa haufanikiwi!! mwisho wa siku ni kutelekeza na kuukimbia uzi wako mwernyewe! ulitabiri simba kufungwa na coastal union, ukatabiri simba kufungwa na Al Ahly hapo kwa Mkapa, mwisho wa siku ukala kona!! Pole sana!! Endeleza tu kulio cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!!Nadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo ......kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu
Hivyo basi Kwa uchambuzi niliofanya naona kabisa kolo anaenda kula mvua ya magoli 6+. Nini kifanyike??
Kwakweli hapa hamna njia yeyote ya kuescape kikombe hiki.....hata mkipaki basi ....haita badilika kikubwa tujiandae kisaikolojia
View attachment 2791156
Akiba ya maneno ni muhimu sanaNadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo ......kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu
Hivyo basi Kwa uchambuzi niliofanya naona kabisa kolo anaenda kula mvua ya magoli 6+. Nini kifanyike??
Kwakweli hapa hamna njia yeyote ya kuescape kikombe hiki.....hata mkipaki basi ....haita badilika kikubwa tujiandae kisaikolojia
View attachment 2791156
Acha tuone mvua ya goalsUtakufa na kuteswa na roho mbaya!! utabiri wako wa roho mbaya dhidi ya simba huwa haufanikiwi!! mwisho wa siku ni kutelekeza na kuukimbia uzi wako mwernyewe! ulitabiri simba kufungwa na coastal union, ukatabiri simba kufungwa na Al Ahly hapo kwa Mkapa, mwisho wa siku ukala kona!! Pole sana!! Endeleza tu kulio cha ngwena!! ngwena!! ngwena!! ngwena!!
Utabir lazima utimie hata kwa muda kuchelewa.
utabiri poyoyoNadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu
Hivyo basi Kwa uchambuzi niliofanya naona kabisa kolo anaenda kula mvua ya magoli 6+. Nini kifanyike??
Kwakweli hapa hamna njia yeyote ya kuescape kikombe hiki.....hata mkipaki basi ....haita badilika kikubwa tujiandae kisaikolojia
Sawa mamaNadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu