Wapumbavu, aliewaambia kuwa Simba aingii makundi ni nani wachawi wakubwa nyie, baada ya mfanye sherehe ya kuingia makundi baada ya miaka 25 mnakuja kushadidia mzoefu wa kuingia makundi club bingwa mna wazim.
Simba kuingia makundi sio news tena ni jambo la kawaida kama ambavyo kesho ni Jumatatu tarehe 2 Oktoba 2023.Hivi ukiambiwa kesho ndio tarehe niliyokutajia utashangaa au ni kawaida tu.Ndio sawa na Simba kuingia makundi.Sasa imekuwa ada.Sio news tena.