Sometimes huwa nafikiria especially hay matukio yanao wakumba wanafunzi vyuoni hasa wa kiume kulawitiwa wanapokuwa wamevamiwa tena uvamizi wa silaha za moto.
Swali linakuja wakitaka # 0713 utatoa au ufe lijulikane moja
Me binafc nshasema bora tupigane waniue
Swali jingine imekuja mijitu km saba hivi kila mti kashika kwake mlaji ajiingilie utaamuaje!! Tuambie inaweza kutokea!!