Hivi hawa jamaa ambao wanakosaga nafasi za kujiunga na Jeshi na kuishia kuwa Walinzi wa magetini huwaga ni stress zinawasumbua au????[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] Yani kama ni vyuoni jamaa wasumbufu balaa wanaweza kukukomalia utoe kitambulisho akati wengine wanapita tuu... Kwenye maofisi ndo balaa wanapenda Kuabudiwa sanaa yani utadhani wanaimiliki dunia wakikaa kulinda yale mageti[emoji57][emoji57][emoji57] Wajirekebishe.
Ushawahi Kupata Usumbufu wa Suma JKT???